Jumapili, 30 Agosti 2015

SHEREHE YA HARUSI YA BW. RASHIDI & BI ZUHURA ILIYOFANYIKA TAR.30.8.2015 KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI

MR & MRS RASHIDI & ZUHURA KWENYE POZI


 MAMBO YA QWAITO
 DU MAMA MZAZI KIBOKO AMELETA BESENI ALILOMGESHEA MWANAWE AMBAYE NDIO BWANA HARUSI BW. RASHID DU MAMA UNATISHA
 SIO BESENI NA KADI YAKO YA CLINIC HII HAPA MAMA UNATISHA

 AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI
 AKITOA ZAWADI YA SANDUKU LA NGUO ZA MAHARUSI
 MAMA MLEZI AKIKABIDHI RISITI YA MEZA YA KIOO YA CHAKULA KWA MAHARUSI



 WAZAZI WA BI. HARUSI KWENYE PICHA YA PAMOJA



 HAWA SI MASHABIKI WA CHAMA CHA SIASA BALI NI WAFANYAKAZI WENZAKE NA MAMA WA BWANA HARUSI WAKIENDA KUMTUNZA MFANYAKAZI MWENZAO NI WAFANYAKAZI WA TMJ HOSPITAL
 MAHARUSI NA WAFANYAKAZI WA TMJ





 WAZAZI WA MAHARUSI WAKIINGIA UKUMBINI

 WAPAMBE WA MAHARUSI WAKIIINGIA UKUMBINI
 M AHARUSI WAKIINGIA UKUMBINI








 MAMA MLEZI MRS LUBANGULA AKITOA UKARIBISHO RASMI















 MAMA MZAZI WA BWANA HARUSI KULIA NA MAMA MLEZI KATIKA PICHA YA PAMOJA
 WAZAZI WALEZI MR & MRS LUBANGULA

























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni