BI. MWAJUMA AKIWA AMEPOZI UKUMBINI MAWENZI ANNEX
BAADHI YA WANAKAMATI WAKIWA KWENYE POZI
BI MWAJUMA AKIWA NA RAFIKI ZAKE WA KIMARA
AKIWA AMEPOZI KWENYE KITANDA ALICHOPEWA ZAWADI NA DADA YAKE /MLEZI WAKE BI. SAUDA AKA MACHO
AKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE
MAJIRANI ZAKE WAKIPELEKA ZAWADI
MAMA DULA AKISAIDIA KUPELEKA ZAWADI ZA MLEZI MAMA ZIADA
MAMA SHUWEIYA MAMA KUTOKA DUBAI AKITOA ZAWADI KWA MAMA WA SHUGHULI
WACHA WEE RAHA JIPE MWENYEWE USISUBIRI KUPEWA ,MAJIRANI WAKIJIMWAGA
MAMA DULLA NA PACHA WAKE BI ZAI WAKITOA ZAWADI YA KABATI KWA BI. MWAJUMA
MAMA DOCTER AKIONGOZANA NA WANACHAMA WENZAKE WA FRIENDS FOREVER KWENDA KUMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO MAMA ZIADA AKA MACHO MAMA DOCTER AKIONGOZANA NA WANACHAMA WENZAKE WA FRIENDS FOREVER KWENDA KUMTUNZA MWANACHAMA MWENZAO MAMA ZIADA AKA MACHO
WAKIMTUNZA BI . SAUDA
MAMA KUTOKA DUBAI MAMA SHUWEIYA AKITUNZA MAHELA PAMOJA NA MAJIRANI WENZAKE
UJIRANI MWEMA WAKITOA MKONO WA PONGEZI
MAJIRANI WEMA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAMA ZIADA (BI. SAUDA)
SUBIRI MAHELA HAYO NINAYO HUMU KWENYE POCHI
POKEA KWA MDOMO
POKEA MAMA
HAYA MAMA HESABU MAHELA HAYO KUTOKA KWA WANACHAMA WENZAKO
NENDA CHINI NDIVYO WALIVYOKUWA WAKIAMBIWA NA MC MAMA DOCTER AMBAYE HAYUKO PICHANI
HAO AKINA MAMA SIO KAMA WAMELALA CHINI KWA KUJIKINGA NA NYUKI BALI HIZO NI SWAGA ZA KUTOA SHUKRAN KWA WAALIKWA NA WANAUSEMI WAO WANASEMA NGUO HAIRUDIWI KWENYE SHUGHULI KWA HIYO GARAGAZA TUBI MWAJUMA AKIWA NA NDUGU WA MUME WAKE MTARAJIWA YAANI MAWIFI ZAKE
MAMA HAMZA NAE HAKUWA NYUMA KATIKA UTOAJI WA ZAWADI
MAKAMU MWENYEKITI AKITOA ZAWADI KWA NIABA YA KAMATI YA MAAANDALIZIMAKAMU MWENYEKITI AKITOA ZAWADI KWA NIABA YA KAMATI YA MAAANDALIZI
WANAKAMATI KWENYE PICHA YA PAMOJA
MAJIRANI WAKITOA ZAWADI
BIBI ATHUMANI AKIFANYA VITU VYAKE
MAMA ZIADA AKIPELEKA ZAWADI KWA MAKAMU MKT KWA KUMSHUKURU KWA NIABA YA FAMILIA KWA KUJITOA KUENDESHA VIKAO KWA HALI NA MALI
BI. MWAJUMA AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI KULIA NA DADA YAKE AU MLEZI WAKE KUSHOTO KATIKA POZI LA NGUVU
MAMA MAPUNDA WA UKWEEELI AKITOA ZAWADI KWA SHOGA YAKE MPENZI
WACHA WE BI. MWAJUMA KWA SWAGA MASHAALAH
AKIMIMINIWA SHAMPENI ISIYOKUWA NA KILEVI NA MFUNGUAJI WA SHAMPEIGN
MAMA KUTOKA DUBAI AKIWAMIMINIA SHAMPENI WAZAZI
POZI LA KUFA MTU
BI. MWAJU AKITOSSY NA MAMA YAKE
AKITOSSY NA WIFI ZAKE
AKIKATA KEKI YA SHEREHE YAKE
AKIMSHUKURU MAMA KWA KUMPA KEKI KWA KUMZAA
BI. MWAJUMA AKIWA NA SOMO YAKE BI. KAMWENE MWENYE DIRA LA NJANO WAKICHUKUA CHAKULA
MLEZI AKICHUKUA CHAKULA
WAKIPATA CHAKULA
WAZAZI WAKIPATA CHAKULA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni