WAALIKWA WAKISEREBUKA UKUMBINI
MUIMBAJI MAARUFU WA TAARABU BI ZENA ALIKUWA MIONGONI MWA WATOA BURUDANI
MAMA MZAZI AKIMKABIDHI MTOTO WAKE ZAWADI YA DRESSING TABLE NA MAPAMBO YAKE
KATUNZE NGUO ZAKO NZ ZA MUME WAKO KABATI HILO
HAYA KUKURUKA MWANANGU NA KITANDA HICHO
HONGERA HADIJA
SHANGAZI YA MTU AKILETA ZAWADI YA MWANA
HAYA MAMA KAZI KWAKO MASHUKA HAYO
SWALA MUHIMU MABIBI HAO
BIBI YAKE MAMA YAKE GEAR HABIBU AKITOA ZAWADI
MABIBI PAMOJA NA MJUKUU WAO
ZAWADI YA SOMO
BI NYOTA WAZIRI PIA ALIKUWA MIONGONI WA WASHEREHESHAJI WA GHAFLA HIYO
HAKIKA ILIFANA SANA
WAALIKWA KUTOKA MOMBASA NAO PIA WALIKUWEPO
WAALIKWA KUTOKA OMANI PIA WALIKUWEPO
PIA WAALIKWA KUTOKA NAIROBI KENYA PIA WALIKUWEPO
MAMA MZAZI NA NDUGU YAKE WAKIWA KATIKA POZI
HIZI NI BAADHI YA ZAWADI ALIZOPEWA BI. HADIJA KATIKA SHEREHE YAKE
MAMA MZAZI BI NDUNI AKIINGIA RASMI UKUMBINI NA NDUGU YAKE
MAMA MAMA KARIBU MAMA KARIBU UKUMBINI TUSHEREHEKE
NAWAPENDA KARIBUNI
BI HADIJA AKIWA AMEPENDEZA KULIKO WATU WOTE AKIINGIA UKUMBINI
AHSANTENI WAKUBWA ZANGU NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA UJUMLA
NAKUFICHUA MWANANGU KARIBU KWENYE CHAMA CHA NDOA
SHANGAZI YAKE BI. HADIJA MAMA GEAR MKE WA HALALI WA MZEE HABIBU AKITOA UKARIBISHO RASMI
ZIBARIKI HIZI SHAMPEIGN ILI ZIFUNGUKE KWA SALAMA
HAYA KINGA GLASS SHAMPEIGN HIYO
KILA LA LAKHERI HADIJA MAISHA MEMA
AFYA NJEMA
HARUSI NJEMA
KARIBU MPENZI KWENYE CHAMA CHA NDOA
AHSANTE MA MDOGO
AHSANTE SHANGAZI
AHSANTENI MAJIRANI ZANGU
MAMA MKUBWA MAMA MLEZI WA BI HADIJA
AAH BILA YA WEWE TUSINGETOKA OUTING
RAHA JIPE MWENYEWE USISUBIRI KUPEWA
KHADIJA KWENYE POZI
AKIWA AMEPOZI MAHALI ALIPOANDALIWA KUKETI KWENYE USIKU WA HADIJA
POZI LA NGUVU
SOMO WA BI. HADIJA AKIINGIA UKUMBINI
SOMO WA BI HADIJA UNT BIUWE NA MWALI WAKE HADIJA
AKIKATA KEKI
AKIMLISHA MAMA MLEZI KEKI
AKIMLISHA SHANGAZI YAKE KEKI
AKIMLISHA SHANGAZI YAKE KEKI
AKIMLISHA SOMO YAKE KEKI
AKIMLISHA BIBI YAKE KIPENZI MAMA MZAZI WA GEAR HABIBU
AKIMLISHA SHANGAZI YAKE GEAR HABIBU
AKIMLISHA RAFIKI YAKE GEAR HABIBU MAMA KUTOKA DUBAI MAMA TABU MABOBISH
SHANGAZI YAKE HADIJA AKITOA NASAHA KWA NIABA YA WIFI YAKE MAMA YAKE HADIJA BI. NDUNI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni