RAHEL UPENDO AKIWA KWENYE POZI MBALI MBALI SALOON
WAKWE WAKIINGIA KWENYE UKUMBI WA KWALALUMPA SINZA
MAMEDS AU WASINDIKIZAJI WA BIBI HARUSI WAKISAFISHA NJIA KABLA BIBI HARUSI MTARAJIWA HAJAINGIA UKUMMBINI
BI.RAHEL UPENDO AKIINGIA UKUMBINI KWA BASHASHA NA MWENYE SURA YA FURAHA
AKISALIMIANA NA WAZAZI WAKE
MMOJA WA WATU WALIOANDALIWA NA WANAKAMATI AKIOMBA DUA YA UFUNGUZI WA SHEREHE
BI.RAHEL AKIWA NA WANA KAMATI WALIOANDAA SHEREHE YAKE KWENYE PICHA YA PAMOJA
BI RAHEL AKIWA NA KAMATI KUU
AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA YAKE
WAZAZI WA BI RAHEL UPENDO BABA NA MAMA
AKIWAPA KEKI YA SHUKRANI WAZAZI WAKE
AKIWAPA WAKWE ZAKE KEKI YA KUWASHUKURU KWA KUMKARIBISHA KWAO
AKIWASHUKURU WANAKAMATI KWA KUWAPA KEKI
HIZO NI BAADHI YA SHAMPENI KATI YA SHAMPENI ZILIZOANDALIWA WAKIGONGA CHEERS NA WAFUNGUZI MAHIRI
MC NGALAWA AKIMMIMINIA SHAMPENI BI. RAHEL UPENDO BAADA YA KUFUNGULIWA
UKUMBI ULIGEUKA KAMA COCK TAIL PARTY WAKATI WATU WAKITAKIANA HERI YA KWA KUGONGA CHEERS ILIKUWA RAHA SANA
HUYO MTOTO ALIYEBEBWA AKIWA NA WAZAZI WAKE NAE ALIKUWA ANASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA ALITIMIZA MWAKA MMOJA
BABA WA BI RAHEL AKIKATA NDAFU
AKIMLISHA MKE WAKE "UNAKUMBUKA ENZI ZETU "
WAKIMLISHA NDAFU MTOTO WAO WAKIMSHUKURU KWA KUWAPA HESHIMA
AKIPOKEA ZAWADI KUBWA KULIKO ZOTE BIBLIA KUTOA KWA BABA YAKE
HUU NDIO UTAKUWA MUONGOZO WETU BI RAHEL AKIMKABIDHI BIBLIA MUME WAKE MTARAJIWA
KARIBU MPENZI WANGU TWENDE TUKALE PAMOJA
CHAGUA UNACHOPENDA MPENZI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni