AKIWA NA WAPAMBE WAKE KATIKA FUKWE YA BAHARI YA HINDI
AKIWA ANAPAMBWA KATIKA SALOON YA MAZNAT MIKOCHENI DSM
AKIWA KWENYE POZI MBALIMBALI BAADA YA KUPAMBWA SALOON YA MAZNAT
AKIWA NA MATRON WAKE SALOON
MASHALAAH
MASHALAAH
AKIWA NA WAPAMBE WAKE NJE YA SALOON
WAKIWA WANAELEKEA FUKWE ZA KAWE BEACH CLUB NA WAPAMBE WAKE
RAHA JIPE MWENYEWE AHSANTE ALLAH
AHSANTE RAFIKI ZANGU KWA KUNIJALI
AHSANTE SHOGA YANGU MUNGU ATAKULIPA
RAHA JIPE MWENYEWE AHSANTE
SHEREHE GHARAMA PENDEZA SANA
WAZAZI WA BWANA HARUSI MTARAJIWA WAKIINGIA UKUMBINI
MSHENGA AKIMALIZANA NA SHANGAZI WA BI. KHADIJA
AHSANTENI WAKWE ZANGU
MUNGU AWABARIKI WAKWE ZANGU
DADA ZAKE BI HARUSI WAKIWA WAMEPOZI KUTOKA KULIA NI MRS BENDERA
AHSANTE NDUGU ZETU KWA ZAWADI
AHSANTENI SANA
BI KHADIJA AKIINGIA UKUMBINI NA WAPAMBE WAKE
MSHENGA NAKUKABIDHI DADA YANGU KWA NIABA YA BWANA HARUSI MTARAJIWA HANA KOVU , MSIKIVU , MTANASHATI ,
KHADIJA AKIWASALIMIA WAGENI WAALIKWA
MWENYEKITI WA KAMATI AKITOA UKARIBISHO KWA WAGENI WAALIKWA
SAHANGAZI AKITOA SALA YA UFUNGUZI
BIBI HARUSI AKIWA NA BAADHI YA WATU WALIOANDALIWA WAKIFUNGUA SHAMPENI
WAZAZI WANGU KARIBUNI SHAMPENI
AHSANTE SHOGA YANGU
AHSANTENI RAFIKI ZANGU
AHSANTENI JAMAA ZANGU
KARIBUNI
CHEEERS MASHOST ZANGU
UMEPENDEZA HONGERA DADA YANGU
TWENDE NIKAKUTAMBULISHE KWA WAGENI WANGU NILIO WAALIKA
POKEA ZAWADI KUTOKA KWANGU DEAR
HIVI VITU VYAKO VYOTE NAWEKA HUMU HUKU TENA BASI
SIAMINI MACHO YANGU AHSANTE KWA ZAWADI MY SWEET
WANAFUNZI WENZAKE
WAFANYAKAZI WENZAKE
WANAFUNZI WENZAKE BI . HARUSI MTARAJIWA WA CHUO
KAPU LA MAMA
KAPU LA MAMA
AKIWA MAMA ZAKE NA DADA YAKE MRS BENDERA
WANAKATI WA SHUGHULI YA MAANDALIZI
AHSANTE SHANGAZI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni