BWANA NA BI MUSSA & AISHA MUDA MCHACHE BAADA YA KUFUNGA NDOA
AKIFUNGISHWA NDOA NA SHEMEJI YAKE KWA NIABA YA WALII AMBAYE NI BABA WA BI. AISHA
AKIPONGEZWA NA MKWEWE BAADA YA KUFUNGA NDOA
BI. AISHA KWENYE POZI MBALIMBALI
BI. AISHA KWENYE POZI MBALIMBALI
AISHA AKIWA NA WIFI ZAKE
AISHA AKIWA NA WIFI ZAKE
AKIWA NA WIFI YAKE KIPENZI
KARIBU WIFI
AKIWA NA BIBI YAKE MAMA RUKIA
AKIWA NA NDUGU YAKE
AKIWA NA SHANGAZI YAKE DADA SIFA NA MWANAWE
AKIWA NA WATOTO WA SHEIKH YAHYA ABUU AMBAYE YUKO SAFARINI RWANDA
MR & MRS MUSSA KWENYE POZI
MUSSA AKIMVALISHA PETE SWEETY WAKE
I LOVE YOU MY SWEETY
I LOVE YOU TOO
MUSSA AKIWA NAMKEWE NA SHEMEJI ZAKE
HAKIKA NI RAHA TU
YAANI USIPIME
KARIBUNI KWENYE MAISHA YA NDOA
HONGERENI SANA
MPENZI HII NI AHADI YA NDOA YETU WAKISAINI VYETI VYA NDOA
JAMANI RAHA
WIFI KUWA NA AMANI HUKU NI FURAHA TU
MAHARUSI NA WAZAZI WAO
BI. HARUSI NA WIFI YAKE
MAHARUSI NA WAZAZI WAO
KWAHERI MKE WANGU MKUBWA LAKINI SINTOKUTUPA MUSSA NA BIBI YAKE
BI. HARUSI AKIWA NA BABA YAKE
ASANTE MPENZI KWA KUWA MKWELI HAKIKA NITAKUPENDA DAIMA
NA MIMI PIA MPENZI NTAKUPA MOYO WANGU WOTE
BASI TUNAMUOMBA ALLAH ATUPE KIZAZI CHEMA NA MAISHA MEMA AMIN AMIN AMIN
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni