Jumamosi, 5 Septemba 2015

SHEREHE YA HARUSI YA BW. RASUL NA BI KHADIJA ILIYOFANYIKA TAR.4.9.2015 NYUMBANI KWA WAZAZI WA BI. HARUSI MOROGORO


 ULIPO TUPO HAPANA HAPA KAZI TU NDIO MAANA HATA NGUO NILYOVAA SI UNAIYONA INAWAKILISHA
 MAULID NDIO YALIYOKUWA TUMBUIZO KATIKA HARUSI HIYO
 KHADIJA AKIWA NA DADA ZAKE
 WAZAZI WA BWANA HARUSI WAKIINGIA NYUMBANI KWA WAZAZI WA BI.HARUSI
 BWANA HARUSI NA WAPAMBE WAKE WAKIIINGIA ENEO LA TUKIO


 BWANA HARUSI AKISAINI CHETI CHA NDOA
 BWANA RASUL AKIKABIDHIWA RASMI BI KHADIJA KUWA MKEWE NA BABA MKWE WAKE
 HONGERA BABA KARIBU KWENYE CHAMA CHA WALIOOWA
 PROFESA MIKIDADI AKITOA MAWAIDHA BAADA YA KUFUNGISHWA VIJANA WAO NDOA



 BWANA RASUL AKIWA KWENYE POZI MBALIMBALI NA MKEWE BI. KHADIJA




 MAHARUSI KWENYE POZI


 WAKIVALISHANA PETE


 WAZAZI WA BWANA NA BIBI HARUSI KWENYE PICHA YA PAMOJA














 BI HARUSI AKIWA NA BABA YAKE MZAZI
TWENDE MKE WANGU HAPA AFYA TELE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni