WAKIWA DSM ZOO KIGAMBONI DSM
WAKIWA MSIKITINI DSM ZOO
WAKIWA WANASWALI SWALA YA MAGHARIB NYUMBANI KWA MZEE EDHA BINKLEB
MATAYARISHO YA FUTARI KABLA YA KUFUTURU UPANGA
BAADHI YA WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KIMATAIFA WAKIWA NA WAALIKWA WENGINE KATIKA FUTARI
WAKIPATA FUTARI PAMOJA WENYEJI WAO
WAKIWA WANASIKILIZA MAWAIDHA BAADA YA KUFUTURU KUTOKA KWA SHK WA SENEGAL AMBAYE NI MMOJA WA MAJAJI WA MASHINDANO HAYO
JAJI WA MASHINDANO KUTOKA SENEGAL SHK.BOUSSO MAMADOU ALASSANE AKITOA TAMKO LA SHUKRAN KWA NIABA YA WASHIRIKI WA MASHINDANO BAADA YA FUTARI
WAKIOMBA DUA BAADA YA FUTARI
WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KIMATAIFA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WENYEJI WAO KWA MZEE EDHAH AWAZ BINKLEB
WASHIRIKI WAKIWA VIKINDU
WANAFUNZI WA SHULE YA KUHIFADHISHA QURAN IBN JAZAR WAKIWASIKILIZA WASHIRIKI WA MASHINDANO WALIPOWATEMBELEA SHULENI KWAO
WAKITEMBELEA ENEO LA SHULE YA SEKONDARI IBN JAZAR VIKINDU
SHK KAPOR AKIWA NA MGENI WAKE SHK BOUSSO KUTOKA SENEGAL WAKIKAGUA MAENEO MBALIMBALI YA SEHEMU YA SEKONDARI
WAKIKAGUA DARSA LA COMPUTER LA SEKONDARI IBN JAZAR VIKINDU
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA SHK, KAPOR NA WAGENI WAKE IBN JAZAR VIKINDU
AKIWA KATIKA PICHA PAMOJA NA VIONGOZI WA WAWAKILISHI HAO NA MAJAJI WAKIWAMO DR. ABAS KUTOKA SUDAN MWENYE KILEMBA
WAKIELEKEA UPANDE WA HOSPITAL YA KITUONI HAPO
WAKIWA KATIKA MAENEO YA HOSPITAL
WAKIWA NDANI YA JENGO LA HOSPITAL AMBAYO ITAFUNGULIWA MARA BAADA YA RAMADHANI NA HII NI HOSPITAL AMBAYO INAZINGATIA MAADILI YOTE YA KIISLAM PAMOJA NA KUTENGANISHA SEHEMU YA HUDUMA YA KINAMAMA PEKE YAO NA MADAKTARI WAO NA WANAUME PEKE YAO
WAKIPEWA MAELEZO TOFAUTI YANAYOHUSU HOSPITAL HIYO
WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NJE YA JENGO LA HOSPITAL
JENGO LA HOSPITAL IBN JAZAR VIKINDU
MMOJA WA WALIMU WA WANAFUNZI WASHIRIKI AKITIA SAINI KITABU CHA WAGENI IBN JAZAR VIKINDU
WAKIWA WANAINGIA DSM ZOO
DSM ZOO WAKIANGALIA WANYAMA
WAKISIKILIZA MAELEZO KUTOKA KWA MMOJA WA WANGALIZI WA ZOO HIYO ALIYEVAA TSHIRT YA KIJANI NA KOFIA AINA YA KAPELO
WAKIMUANGALIA SIMBA DSM ZOO
WAKIANGALIA WANYAMA MBALIMBALI
BAADHI YA MIFUGO ILIYOPO DSM ZOO KIGAMBONI DSM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni