WANAFUNZI WA MADRASAT THANAWI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI MWENYE KILEMBA CHA CHEUPE NA CHEUSI
SHK KALIMBA AKITOA FATHA YA KUANZA KWA MAULID
WANAFUNZI WA MADRASAT THANAWI WAKIWA WANASIKILIZA MC AKIWAJUZA KITAKACHOJIRI
WANAFUNZ WAKIITIKIA DUA YA UFUNGUZI ILIYOKUWA IKITOLEWA NA SHK. KALIMBA
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI SHK. KHAMISI MMBANO AKITOA KALMA YA UKARIBISHO
MWANAFUNZI WA MADRASAT AKISOMA QURAN TUKUFU YA UFUNGUZI WA GHAFLA
WAZAZI WA WATOTO WAKIFUATILIA SHEREHE YA MAULID YA MTUME MUHAMAD SAW KISUKURU
MADRASAT SHIJAHI KUTOKA TABATA KIMANGA WAKISOMA SWALATU ALLA NABII
WANAFUNZI WA MADRASAT SAFINA KUTOKA ULONGONI WAKISOMA KASSIDA YA KWANZA
SHK. ABDULKARIM AKISOMA MLANGO WA TATU
KIAMU
KIAMU
KIAMU
KIAMU
WANAFUNZI WA MADRASAT THANAWI WAKISOMA KASIYDA
KIAMU
WATOTO NA WAZAZI WAO KWENYE PICHA YA PAMOJA
WATOTO NA WAZAZI WAO KWENYE PICHA YA PAMOJA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni