WENYE SURA YA BASHASHA MR & MRS ISRAEL
BI ELIWAZA AKIPAMBWA KABLA YA KWENDA KANISANI KATIKA SALOON YA MAZNAT MIKOCHENI
MKE WANGU POKEA PETE HII IWE ALAMA YA MAPENZI YANGU YA KWELI KWAKO NAKUPENDA KULIKO KITU CHOCHOTE
PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI NA WACHUNGAJI BAADA YA KUFUNGA NDOA
THANKS FOR YOUR REALLY LOVE
WAZAZI WA BWANA ELWAZA WAKIONGOZWA NA MR. NGOSOMWILE MWENYE SHATI JEUPE NA MR MWALUGELO WA KWANZA KUSHOTO
SIO MCHEZO HARUSI IMEANDALIWA KAMA UONAVYO
WACHA TUFURAHI MAANA SIKU HII TULIISUBIRI KWA HAMU
DADA WA BWANA HARUSI MWALIMU MWAKILEMBE AKITOA SALA YA UWEPO WA MUNGU UKUMBINI
MR. NGOSOMWILE AKIWA KATIKA POZI BABA MDOGO WA MAHARUSI
MKT WA NGUVU WA KAMATI YA MAANDALIZI AKITOA MAKARIBISHO RASMI KWA WAGENI WAALIKWA
MR. & MRS MWALUGELO MJOMBA NA SHANGAZI WA BWANA ISRAEL
KAMATI YA MAANDALIZI KWENYE PICHA YA PAMOJA
WAPAMBE WA MAHARUSI NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUPENDEZESHA SHUGHULI HIYO
I LOVE YOU SWEET MWAAAAAA.......
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni