MKURUGENZI WA PETROL ENG GODWIN SAMWEL AKIFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MAKAMPUNI YA PETROLKWA NIABA YA MKURUGENZI MKUU WA EWURA MR. FELIX NGAMLAGOSI KATIKA UKUMBI WA PROTEA COURTYARD UPANGA DSM
WADAU WA MAKAMPUNI YA MAFUTA WAKIJISAJILI KABLA YA KUANZA KWA MKUTANO
MKURUGENZI WA PETROL WA EWURA AKISISITIZA JAMBO KWENYE MKUTANO HUO
WADAU MBALIMBALI WAKIFUATILIA MKUTANO HUO
WADAU MBALIMBALI WA MAKAMPUNI YA MAFUTA WAKIFUATILIA MKUTANO HUO WADAU MBALIMBALI WA MAKAMPUNI YA MAFUTAWAKIFUATILIA MKUTANO HUO
WADAU MBALIMBALI WA MAKAMPUNI YA MAFUTA WAKIFUATILIA MKUTANO HUO
WADAU WAKIMSIKILIZA MR. DAVID KUTOKA KAIMU MKURUGENZI WA UDHIBITI WA UCHUMI EWURA AKITOA PRESENTATION YA DISCUSION PAPER
WADAU WAKIMSIKILIZA MR. GEORGE KUTOKA EWURA AKITOA PRESENTATION YA DISCUSION PAPER
WADAU WAKIMSIKILIZA MR. GEORGE KABELWA KUTOKA EWURA AKITOA PRESENTATION YA DISCUSION PAPER
MWAKILISHI WA KAMPUNI YA TOTAL AKICHANGIA HOJA KATIKA MKUTANO HUO
MWAKILISHI WA KAMPUNI YA PUMA AKICHANGIA HOJA KWENYE MKUTANO HUO
MKURUGENZI WA PETROL WA EWURA AKITOA UFAFANUZI WA JAMBO KWENYE MKUTANO HUO PEMBENI YAKE KAIMU MKURUGENZI WA UDHIBITI WA UCHUMI EWURA
PROFESA JAMIDU KATIMA MWENYEKITI WA EWURA CCC AKICHANGIA HOJA KWENYE MKUTANO HUO
MWAKILISHI WA KAMPUNI YA GBP AKICHANGIA HOJA KWENYE MKUTANO HUO
MKT WA WA OIL MARKETING COMPANIES (OMC) AKICHANGIA HOJA
WAFANYAKAZI WA EWURA WALIOKUWA WASIMAMIZI WA MKUTANO HUO WAKIWA WANAWAHUDUMIA WAJUMBE MALIMBALI WA MKUTANO HUO PICHA JUU
MJUMBE WA BARAZAZ LA USHAURI LA SERIKALI BI. ANJELA TEMU AKICHANGIA HOJA KWENYE MKUTANO HUO CHINI
WAFANYAKAZI WA EWURA WALIOKUWA WASIMAMIZI WA MKUTANO HUO WAKIWA WANAWAHUDUMIA WAJUMBE MALIMBALI WA MKUTANO HUO PICHA JUU
MJUMBE WA BARAZAZ LA USHAURI LA SERIKALI BI. ANJELA TEMU AKICHANGIA HOJA KWENYE MKUTANO HUO CHINI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni