Jumapili, 26 Julai 2015

SHEREHE YA KIPAIMARA YA BI SHUKRANI ELLIOTH ILIYOFANYIKA TAR. 26.7.2015 KATIKA KANISA LA K.K.K.T USHARIKA WA KIMARA TEMBONI KUFUATIWA NA TAFRIJA NYUMBANI KWA WAZAZI WAKE MR & MRS SANGA KIMARA SUCA DSM



 BI. SHUKRAN ELLIOTH AKIWA NA CHETI CHAKE BAADA YA KUPATA KIPAIMARA
 AKIWA AMEPOZI
 AKIWA NA NDUGU YAKE WAKIELEKEA KANISANI
 AKIWA NA WAPATA KIPAIMARA WENZAKE KANISANI NA MDOGO WAKE BLESS
 WAKIPATA BARAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI BAADA YA KUPOKEA KIPAIMARA
 AKISHIRIKI CHAKULA CHA BWANA BAADA YA KUPATA KIPAIMARA
 AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WACHUNGAJI WALIOENDESHA IBADA YA KIPAIMARA
 AKIPONGEZWA NA MAMA YAKE MRS SANGA MARA BAADA YA KUTOKA KANISANI
 AKIWA NA MAMA YAKE NA NDUGU YAKE
 AKIWA NA WAPATA KIPAIMARA WENZAKE NA MCHUNGAJI
 AKIWA NA BABA NA MAMA SANGA NA WADOGO ZAKE NYUMBANI KWAO KIMARA SUCA

 MR & MRS SANGA WAKIWA NA MTOTO WAO BLESS

 SHUKRAN AKIWA NA BABA NA MDOGO WAKE BLESS
 AKIWA KATIKA SWAGGA
 KEKI YA KUMPONGEZA ILIYOANDALIWA NA WAZAZI WAKE MR & MRS SANGA
 AKIWA NA KAKA YAKE NA MDOGO WAKE
 AKIKATA KEKI NA MDOGO WAKE







 AKIWA NA SHANGAZI YAKE KWENYE POZI
 MAMA SANGA AKIWA NA WIFI YAKE NA MUMEWE MR . SANGA
 SHANGAZI AKIWA NA MTOTO WA KAKA YAKE
WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA WANAFAMILIA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni