Jumatatu, 6 Julai 2015

WASHIRIKI WA MASHINDANO YA KIMATAIFA NA WENYEJI WAO WAKIWA KWENYE FUTARI YA PAMOJA NA WENYEJI WAO KATIKA HOTEL YA CITY GARDEN TAR.6.7.2015


 MSHIRIKI KUTOKA NIGERIA AKIFUATIWA NA MSHIRIKI KUTOKA URUSI NA SUDANI WAKIPAKUA FUTARI
 KABLA YA ADHANA WAKISUBIRI KUFUTURU
  KABLA YA ADHANA WAKISUBIRI KUFUTURU
 MISOSI NAYO HAIKUWA NYUMA
 WALIMU NA BAADHI YA MAJAJI NAO WAKICHUKUA CHAKULA
 MSHIRIKI WA KIFILIPINO MBEL AKIFUATIWA NA MSHIRIKI KUTOKA INDIA WAKIPAKUA FUTARI



   WASHIRIKI KUTOKA NCHI MBALI MBALI WAKIWA WAMEKAA WANAKULA PAMOJA







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni