Ijumaa, 18 Septemba 2015

UZINDUZI WAKAMPENI ZA UDIWANI KATA KISUKURU MGOMBEA MH. LUCY JEREMIAH LUGOME KUPITIA CCM "UMOJA NI USHINDI" TAR. 13.9.2015 KATIKA VIWANJA VYA B.O.T KISUKURU


 MH.LUCY AKIINGIA UWANJANI NA MASHABIKI WAKE

 MICHEZO MBALIMBALI ILIKUWEPO
 MASHABIKI WAKE WAKISHEREHEKA UWANJANI HAPO









 MH.LUCY J. LUGOME KWENYE POZI









 MGOMBEA UDIWANI WA KATA YA TABATA NI MIONGONI MWA WAALIKWA
 MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA MH . BONA KALUA MIONGONI MWA WAALIKWA

 MH.LUCY AKIWA NA MH. BONA KALUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA


 MTANIPA WOTE?
 NDIO TUTAKUPAAAAAAAA









 LUCY LUCY LUCY HUYOOOOOO .......UMOJA NI USHINDI MUNGU IBARIKI CCM MBARIKI MH LUCY BARIKI JIMBO LA SEGEREA BARIKI KATA KISUKURU NA KATA ZOTE ZA TABATA AMIN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni