Jumanne, 23 Juni 2015

SHEREHE YA UBATIZO WA MTOTO WA MR & MRS LYIMO BI. ANNE GLORIA ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA K.K.K.T KIMARA B. KUFUATIWA NA TAFRIJA SAMBAMBA NA UBATIZO YA MIAKA 18 YA NDOA YA MR & MRS LYIMO TAR.21.6.2015 KIMARA TEMBONI




 MTOTO ANNEGLORIA AKIBATIZWA AKIWA AMESHIKWA NA MAMA YAKE YA UBATIZO BI MARIAM

 BI. ANNE GLORIA BAADA YA KUPOKEA UBATIZO
 AKIFURAHI MARA BAADA YA KUBATIZWA
 MRS JULIETH LYIMO AKIWA NA MWANAWE BAADA YA UBATIZO

 MAMA AKIWA NA WATOTO WAKE PATRICK & ANNE GLORIA
 CHEREKO CHEREKO BAADA KUFANYIWA MAOMBI MAALUM KWA KUTIMIZA MIAKA 18 YA NDOA
 HONEY MIAKA 18 SIO MCHEZO LET CELEBRATE

 AKIWA NA NDUGU YAKE MERCY
 AKIWA NA MTOTO WAKE WA KWANZA BWANA ERICK LYIMO
 BABA NA MAMA WAKIWA NA WATOTO WAO WOTE WANNE MUNGU ALIYOWAJAALIA
 WANAUME EEE WANAUME EHHH MR LYIMO AKIWA NA WAZEE WA KANISA WAKIMPONGEZA KWA KUBATIZA NA KUTIMIZA MIAKA 18 YA NDOA
 AKIWA NA KAKA YAKE NA WIFI YAKE MARA  BAADA YA KUTOKA KANISANI

 WAKIKATA KEKI YA KUJIPONGEZA YA KUTIMIZA MIAKA 18 NYUMBANI KWAO KIMARA
 MITHILI YA NDEGE WAKILISHANA KEKI
 WAKIMLISHA MTOTO WAO WA KWANZA
 MISOSI YA NGUVU NAYO HAIKUWA NYUMA HATARI USIPIME

 WAALIKWA MBALIMBALI WAKIJISEVIA MSOSI
 WAKIWA NA MPENDWA MTOTO WAO ALIYEBATIZWA
 FAMILIA YA MR LYIMO NA DADA YAKE LYIMO
 WAZAZI NA WAZAZI WA UBATIZO WA BI ANNE GLORIA
 BABA NA MAMA WA UBATIZO WAKIWA NA MTOTO WAO WA UBATIZO
 NYOMOLELO FAMILY KWENYE PICHA YA PAMOJA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni