Jumatano, 24 Juni 2015

SHEREHE YA MAONYESHO YA WATOTO WA AL MADRASAT DAARUL ATAWHEED CHEKA YALIYOFANYIKA TAR.14.6.2015 CHEKA KIGAMBONI DSM






 WASHIRIKI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA MASHINDANO



WATOTO WASHIRIKI WAKIITIKA DUA YA UFUNGUZI
MWL WA SOMO LA DINI KUTOKA SHULE YA DAARUL ARQAM AKISOMA QURAN TUKUFU YA UFUNGUZI


SHK HAMISI JUMA AKITOA WAHADHI KWENYE HADHARA YA MASHINDANO YA QURAN NA MAONYESHO YA HADITH
HIZI NI ZAWADI MBALIMBALI ZILIZONUNULIWA NA MMOJA WA MUUMIN HAKUPENDA JINA LAKE LITAJWE ALLAH AMFANYIE WEPESI MAMBO YAKE AMIN




SHEIKH ABRAHMANI IMAMU MKUU WA MASJID FIRDAUS CHEKA AKIMKARIBISHA MGENI RASMI MKURUGENZI WA SHULE YA KIISLAM DAARUL ARQAM SCHOOL ILIYOKO AMANI GOMVU CHEKA
MGENI RASMI AKIONGEA NA HADHARA NDG ABDULAZIZ SHAWAL MKURUGENZI WA SHULE YA DAARU ARQAM SCHOOL
MGENI RASMI AKIWA NA VIONGOZI WA MASJID FIRDAUS WASIMAMIZI WA MADRASAT DAARUL ATAWHEED WAKIONGOZWA SHEIKH ABRAHMAN ,SHEIKH KHAMIS NA MZEE MUHANDO
MMOJA WA WASHINDI WA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU AKIPOKEA ZAWADI BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI NA JAJI MKUU
MMOJA WA VIONGOZI WA MASJID FIRDAUS SHK HAMISI AMRI AKIZUNGUMZA JAMBO KWENYE HADHARA HIYO
MWALIMU MKUU WA MADRASAT DAARUL ATAWHEED AKIPOKEA ZAWADI ILIYOYOLEWA NA MUHESHIMIWA DIWANI MAMA MPANJILA KWA AJILI YA KUMTIA MOYO AENDELEE KUFUNDISHA KWA BIDII
SHK HAMISI AKIKABIDHI ZAWADI ZA PESA TASLIM ZILIZOTOLEWA NA MFADHILI ALIYETOA ZAWADI AMBAYE HAKUPENDA JINA LAKE LITAJWE KWA MGENI RASMI ILI AMKABIDHI MWALIMU MKUU WA MADRASAT DAARUL ATAWHEED KWA KAZI NZURI ALIYOIFANYA YA KUHIFADHISHA WATOTO QURAN TUKUFU NA HADITH
MWALIMU MKUU AKIPOKEA ZAWADI HIYO KUTOKA KWA MGENI RASMI
MH.DIWANI MAMA MPANJILA AKIKABIDHI ZAWADI KWA WASHIRIKI WASHINDI WA KIKE KWA NIABA YA MGENI RASMI (MAADILI YAMEZINGATIWA)
SWADAKA YA CHAKULA ILIYOANDALIWA KWENYE MASHINDANO HAYO IKIWA INASUBIRIWA KUGAIWA KWA WAGENI MBALIMBALI

HAWA WASHIRIKI WA MAONYESHO YA HADITHI WALIOANZA MAONYESHO YAO BAADA YA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA



WATOTO YATIMA NAO WALIKUWA MOJA YA WASHIRIKI WA MASHINDANO HAYO WAKIPONGEZWA NA WALEZI WAO BAADA YA KUFANYA VIZURI
WATOTO YATIMA NAO WALIKUWA MOJA YA WASHIRIKI WA MASHINDANO HAYO WAKIPONGEZWA NA WALEZI WAO BAADA YA KUFANYA VIZURI

HAPO JUU VIONGOZI WA MASJID FIRDAUS WAKIWA PAMOJA NA MGENI RASMI 

NA PICHA YA CHINI JAJI MKUU SHEIKH SALIM KATIKATI AKIFUATILIA  MASHINDANO KWA UMAKINI MKUBWA NI MWALIMU MKUU WA DINI NA TAHFIDHI QURAN KATIKA SHULE YA DAARUL  ARQAAM ILIYOPO CHEKA AMANI GOMVU PICHA YA CHINI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni