MR & MRS ALLY KWENYE POZI
AAAH MITHILI YA NDEGE
AHSANTE WANANGU MAMA MZAZI WA ALLY BI SALAMA ZIWANGE AKIPOKEA KEKI YA SHUKRAN KUTOKA KWA WATOTO WAKE
DR.CHANDE NA MKE WAKE WAKIPOKEA KEKI YA SHUKRAN KUTOKA KWA MTOTO WAO MPYA BWANA ALLY HAO NI WAZAZI WA BI HAFSA'S MKE WA ALLY
KULA BABY ,SWEETY ,HONEY, MY CHOKLATE ,MY CARPERT ,KULAA
WAKIWA NA BABU YAO MZEE ZIWANGE ALWATAN WA KARIAKOO
WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MBUNGE WA JIMBO LA MKURANGA MH. ABDALAH ULEGA WA KWANZA KUSHOTO AMBAYE NI MJOMBA WA MAHARUSI
WAKIWA NAA MR & MRS ABDALAH ULEGA
KARIBU MKWE WANGU HAFSA AKIWA NA MAMA MKWE WAKE BI. SALAMA ZIWANGE
MBUNGE WA JIMBO LA MKURANGA MH. ABDALAH ULEGA AKITOA NASAHA KWA WATOTO WAKE
WAKIWA NA WANAFUNZI WENZAO WALIOSOMA NAO "MASTER" KATIKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA IFM DSM
WAKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE BWANA HARUSI WA SALAMA BEARING
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni