Jumatano, 6 Julai 2016

FAINAL ZA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU YA KIMATAIFA YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE TAR.26.6.2016 UPANGA DSM


 MSHINDI  WA KWANZA WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN TUKUFU YA KIMATAIFA (DUBAI) MSHIRIKI KUTOKA U.A.E YAANI FALME ZA KIARABU AMBAYE ALIPATA DOLLER 5000$ NA TIKETI PAMOJA NA GHARAMA ZA UMRA DOLLER 4000$ JUMLA DOLLER ELFU TISA 9000$  ZAWADI YA KUSHINDA MASHINDANO HAYO


 WASHIRIKI KUTOKA NCHI MBALIMBALI WAKIWA NDANI YA UKUMBI WA MASHINDANO

 SHEIKH WA MKOA WA DSM AKITOA DUA YA UFUNGUZI WA HAFLA HIYO
 JAJI KIONGOZI SHEIKH ABDALLAH IMAMU WA MSIKITI WA MTORO





 MWENYEKITI WA JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR'AN TUKUFU TANZANIA AKIMKARIBISHA MLEZI WA JUMUIYA HIYO ALHAJ DR. ALLY HASSAN MWINYI












 MLEZI WA JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR'AN TUKUFU TANZANI RAISI MSTAAFU AWAMU YA PILI ALHAJ DR. ALLY HASSAN MWINYI

 MGENI RASMI WAZIRI MKUU WA TANZANI KASSIM MAJALIWA AKIFUATILIA MASHINDANO








































































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni